Home » » TANGAZO!!!!! kwa wajumbe WOTE wa MYIC! Kikao cha kesho 13/4/2014

TANGAZO!!!!! kwa wajumbe WOTE wa MYIC! Kikao cha kesho 13/4/2014

Written By binally on Saturday, April 12, 2014 | 3:37 PM

Kila lenye mwanzo mwisho huishia, In sha allah kesho KATIBA yetu tutaimalizia,khaswa vipengele vilivyobakia, unaombwa katika kikao kuhudhuria.

Na unajulishwa kuwa baada ya mchakato wa katiba mchakato wa kutengeneza TUME YA UCHAGUZI ndio utakaofuatia ikijumuisha:
  • Viongozi wa kusimamia uchaguzi na wajumbe watume. 
  • Mapendekezo ya MFUMO na MUUNDO wa uchaguzi wa viongozi wa kudumu wa jumuiya  
TAFADHALI FIKA BILA KUKOSA NI MUHIMU SAAAAAAAAAAAANA!!!!!!!
Share this article :

+ comments + 1 comments

June 10, 2014 at 7:01 AM

ok

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Mubaarak Youth Islamic Community - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger